Loading...
Home »
Unlabelled »
RAIS KIKWETE AWASALIMU WATOTO MAPACHA DRC
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa
wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini
Kinshasa jana.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kumjulia hali
balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mh.,Antony
Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo(picha na Freddy Maro)
on Sunday, May 11, 2014
Post a Comment