Rehema
Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa
amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la
Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao waliwahi kuwa
na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.
Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona
Mwisho na Kama mwaka wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli
sipendi……..He is happily married and I respect him!!!!ati I met him last
week n we exchanged numbers that’s a big big lie jamani……Am happy and
Single….Am loving my life”
Post a Comment