Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam,
anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory
Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo tarehe 15 Mei,2014 katika
hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akitibiwa.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana
Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana (Mango Garden).
Post a Comment