Waziri
wa Fedha Saada Mkuya (kulia) na Balozi wa Sweden nchini Lennarth
Hjermaker (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa programu ya kukuza
stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni
151 ,leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya (kulia) akibadirishana mkataba na Balozi wa
Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) baada ya kutiliana saini
mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu
wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) akajadiliana jambo na
Waziri wa Fedha Saada Mkuya (katika) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Shukuru Kawambwa, baada ya kutiliana saini mkataba wa programu
ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi
Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam.( Picha Zote na Lorietha
Laurence-Maelezo)
Post a Comment