kwa
maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa
KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali
kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani
bungeni na kuvishirikisha,vyama vya NCCR na CUF.
umefika
wakati sasa kupitia upya yale maamuzi magumu na kuwa samehe na kuwa
rudisha akina zito kabwe,dr kitilia mkumbo na samson mwigamba katka
chama.kuwarudisha akina mtela mwampamba, juriana shonza na habibu
mchange.
haiingii akilini kama unaweza shirikiana na CCM (B) Kwa undani eti ushinde kushirikiana na alie itwa anatumika na CCM.
MBOWE,SLAA
NA WAJUMBE WOTE WA KAMATI KUU kwa pamoja au kwa kila mmoja kwa wakati
wake amuweni kuruhusu fikira hii mpya kwenu.huku mkitafakali faida na
hasala ktk hili.
By Ally makwilo.
By Ally makwilo.
Post a Comment