Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la
Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo.
Gari
aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta
jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana
na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya
18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.
Post a Comment