Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AMINI WA THT AMKIMBIA LINNAH .. AENDA KUFUNGA NDOA NA BONGO MUVI STAR FARIDA LIVE!! KANTANGAZEIEEE U KNOW!!

 

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.



Tazama picha hapa...



























Amini akiwa na mkewe
Ndoa hiyo imefanyika nyumbani kwa Namcy, Magomeni Dar es Salaam.



Pongezi nyingi kwa Amin na mkewe
Download Our App

1 comments:

hongereni sana,Allah bariq.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top