Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AUNTY EZEKIEL AJA NA MPYA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel

Akizungumza na paparazi wetu, Aunt alisema ameamua kufunga Ramadhani nchini na kumalizia Dubai kama ishara ya kumkumbuka mumewe aishie Dubai.
“Kama mnavyojua mume wangu yupo kule achana na maneno yote yanayosemwa juu ya mume wangu lakini ukweli ni kwamba yeye anaishi kule hivyo lazima nikamalizie huko mfungo,” alisema Aunt.GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top