Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BASI LA AHIDA'S LAPATA AJALI KIBITI MKOANI PWANI

 


Basi la Kampuni ya AHIDA"S 
lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - Tunduru Limepata ajali mapema asubuhi ya leo katika eneo la kijiji cha Kinyanya - Kibiti na kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.
 
Ajali hiyo ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo kumkwepa 
mtoto aliyekuwa anakatiza barabara.
 
 Mara baada ya kutokea ajali hiyo dereva aliweza kujisalimisha kituo cha polisi cha Kibiti. Basililikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tundur
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top