COSTA
Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa
kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za kawaida na
za nyogeza 30 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.Hata hivyo kocha wa
Ugiriki, Fernando Santos alitolewa kwenye benchi
kwa kuoneshwa kadi nyekundu kutokana na kumzonga mwamuzi katika mchezo
huo ulioenda hatua ya penati.
Sokratis (kushoto) akifunga bao la kusawazisha dakika za lala salama
Costa Rica walilazimika kucheza pungufu
baada ya mchezaji wake Oscar Duarte kutolewa nje kwa kadi nyekundu mnamo
dakika ya 67 kufuatia kadi mbili za njano.
Kikosi cha Costa Rica: Navas, Gamboa
(Acosta 77), Duarte, Gonzalez, Umana, Diaz, Ruiz, Borges, Tejeda (Cubero
66), Bolanos (Brenes 83), Campbell.
Wachezaji wa akiba: Pemberton, Myrie, Barrantes, Francis, Granados, Miller, Calvo, Urena, Cambronero.
Kadi ya njano: Duarte, Tejeda, Granados, Ruiz, Navas.
Kadi nyekundu: Duarte.
GMfungaji wa goli: Ruiz 52.
Kikosi cha Ugiriki: Karnezis,
Torosidis, Manolas, Papastathopoulos, Holebas, Karagounis, Salpingidis
(Gekas 69), Maniatis (Katsouranis 78), Christodoulopoulos, Samaris
(Mitroglou 58), Samaras. Subs: Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis,
Kone, Mitroglou, Vyntra, Fetfatzidis, Tachtsidis, Kapino.
Booked: Samaris, Maonlas.
Mfungaji wa Goli: Sokrats 90+1 dakika moja nyongeza.
Mwamuzi: Benjamin Williams (Australia)
Post a Comment