Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Isikilize hapa single mpya ya Joh Makini inayoitwa ‘najiona mimi’ ( I see me) iko hapa

IMG-20140617-WA0000
Ni single nyingine kutoka kwa mwamba wa Kaskazini ambaye pia anawakalisha Weusi kampuni Joh Makini wimbo unaitwa Najiona mimi [I see me] umefanywa na Nah Real pamoja na Chizan Brain.
Mara ya mwisho kwa Joh Makini kutoa single yake kwenye Radio ilikua June 2013 ambayo ilikua kolabo na Fundi Samweli lakini sasa amerudi na hii.

 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top