Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA JIONEE HAPA


Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti wakililia wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.


Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top