Peter Okoye wa P Square ameonesha magari mapya ya kifahari yaliyoingia hivi karibuni katika garage ya familia yao.
magari yaliyoingia katika jumba la Square Ville
hivi karibuni na sio magari yote wanayomili.
“Crazy Squareville…New Arrivals…Don’t worry God will do same for u… #hardwork”
Magari mapya aliyoonesha ni pamoja na Wrangler Jeep ya mwaka 2014
ambayo kwa sasa inauzwa zaidi ya $22,395 na Bentley ya mwaka 2014 ambayo
inauzwa kuanzia $177,500.
Post a Comment