Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya
Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipata maelezo ya mradi wa maji wa
Kwamtokama ulioko Kata ya Chikonji Wilayani Lindi kutoka kwa Mhandisi
Mshauri wa Kampuni ya Don Consult Limited Ndugu Ahmed Salum (kulia) huku
baadhi ya wananchi wakichota maji kuhusu utekelezaji wa mradi. Mradi
huo utakapokamilika utanufaisha wananchi waishio katika vijiji vinne
vilivyopo katika kata hiyo ambavyo ni Chikonji Kaskazini na Kusini,
Jangwani na Nanyanje vyenye wakazi wapatao 7000. Mke

wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete
akiongea na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Chikonji Kusini waliofika
kuchota maji baada ya Mama Salma kutembelea chaqnzo hicho tarehe
20.6.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI.
Post a Comment