Meya Wa Ilala Mh Jery Silaa Akiwasili kata ya Kipunguni na kupokelewa na Diwani wa kata Hiyo Na Viongozi wengine .
Mkandarasi wa kampuni Kika Construction Mbaraka Kihawe akimkaribisha Meya Wa Ilala Mh Jery Silaa kwenye meza kuu.
Mwanainchi Huyu alipatwa na Furaha sana Kumuona Mh Jery Silaa akashindwa kujizuia na kwenda Kumsalia.
Wageni waliokuja kuhudhuria utiaji sahihi wa mikataba baina ya manispaa ya Ilala na Wakandarasi wakiwa meza kuu
Diwani
wa Kata ya Kivule Mh Nyasika Getama Akishukuru manispaaa kwa kuweza
kuikumbuka kata yake katika mradi huo mkubwa wa maji kwa kata Hizo mbili
Mwakilishi wa Diwani wa kata ya KipunguniB akishukuru pia kwa kuweza kupewa mradi wa maji kwenye kata yao ya kipunguni B
Meya
wa Manispaa ya Ilala Mh Jerry Silaa akielezea ni kwani wameamua kuja
kutiliana sahihi mbele ya wanainchi ili kuweka uwazi na uwajibikaji wa
kila mmoja,kuanzia Manispaaa mapaka kwa Wakandarasi.Hivyo amewataka
Wakandarasi hao kuwa makini na kufanya kazi kwa viwango ili kuweza
kutatu Tatizo la Maji katika kata Hizo mbili.
Mkandarasi wa kampuni ya
Mkandarasi
kutoka Kika Construction Mbaraka Kihawe wa pili kutoka kushoto akitia
sahihi mkataba wa ujenzi wa mradi wa Maji kata za Kipunguni B na Kivule
na Manispaa ya Ilala,Meya Wa Manispaa ya Ilala(mwenye miwani)akishuhudia
Mwanasheria wa Manispaa Kulia akitia sahihi Mikataba Hiyo.
Mwanasheria wa Manispaa Mashauri Musini Kulia akitia sahihi Mikataba Hiyo Huku akishuhudiwa na Viongozi wa kata za Kipunguni B na Kivule. |
Mkandarasi
wa Kampuni ya JP Traders wa Pili kutoka Kushoto akitia sahihi mkataba
wa ujenzi wa mradi wa maji baina yake na Manispaa Ya Ilala,Kulia ni
mwanasheria wa Manispaa ya Ilala Mashauri akihakiki na kutia sahihi
mikataba hiyo.
Meya
Wa manispaa ya Ilala Mh Jery Silaa akikabidhiana Mikataba na Mkandarasi
kwa Ajili ya mradi wa maji kwa kata za Kipunguni B na Kivule
Wanainchi
wa kata Za Kivule na Kipunguni B wakifuatilia utiaji sahihi wa mikataba
hiyo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji.PICHA ZOTE NA DJ SEK BLOG
Post a Comment