Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MASHABIKI WAWASHAMBULIA MASANJA NA DIAMOND KWA KUSHINDWA ‘HATA’ KUTOA POLE KWA MISIBA 3 YA BONGO MOVIE.WAO WANAPOST TU PICHA ZA BATANI NCHINI MAREKANI..MASANJA AJIBU TUHUMA KWA KUMWAGA MATUSI.."FYOKOFYOKOMSIBANI"


Ukiingia Instagram leo utakutana na post nyingi za R.I.P George Tyson katika akaunti za wasanii wengi wa bongo movie na wa muziki, pamoja na wadau mbalimbali wa burudani, ingawa hakuna dalili za huzuni katika akaunti ya Diamond na Masanja zaidi ya picha za bata nchini Marekani.

Masanja3
Mashabiki wa muigizaji wa Ze comedy, Masanja Mkandamizaji pamoja mashabiki wa msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz wameshindwa kuvumilia kuona hawajihusishi hata kwa kutoa pole katika kipindi cha majonzi ya misiba mitatu iliyoongozana wiki mbili zilizopita katika akaunti zao za mitandao ya kijamii.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top