Baada
ya figisu figisu ya muda mrefu leo hii Mwanadada Agnes Gerald aka
Masogange ameamua kufunguka kuhusu mahusiano yake na huyu jamaa....
hii
inanikumbusha ile Hadithi ya Mfalme Ana Maskio Kama ya Punda...Kwani
dada Masogange alikaanalo sana hili na leo kasema mwenyewe na kuweka
picha hizi INSTANGRAM...
Post a Comment