Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Matokeo mechi za mwisho za makundi: Uholanzi vs Chile na Spain vs Chile

 

20140624-015614-6974102.jpg
Michuano ya kombe la dunia imezidi kushika kasi baada ya mechi za kuzikutanisha timu Uholanzi vs Chile, na Spain vs Australia.
Mechi ya Spain dhidi ya Australia imeisha kwa matokeo ya 3-0, magoli yakifungwa na David Villa, Torres na Juan Mata. Pamoja na ushindi huo lakini Spain na Australia tayari zimeshaaga michuano hiyo.
Mechi ya Uholanzi dhidi ya Chile ilikuwa ya kugombea nafasi ya kwanza kwenye kundi lao, matokeo ya mechi hiyo yaliisha kwa Uholanzi kushinda 2-0, magoli yakifungwa na Memphis Depay na Leroy Fer.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top