Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBUNGE MGIMWA AWAHAKIKISHIA UMEME MGAMA

                     


Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa wa nne kulia akikagua nguzo za umeme ambazo zimeanza kushushwa kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini kama alivyoahidi wakati wa kampeni zake ni takribani miezi miwili sasa utekelezaji umeanza



Hizi ni nguzo za umeme ambazo zimeshushwa kijiji cha Mgama kwa ajili ya mradi wa umeme


Mbunge wa jimbo la kalenga akizungumza na wananchi wa Mgama baada ya kutembelea kijiji hicho na kujionea utekelezaji wa ilani ya CCM na ahadi yake ya kuwaahidi umeme wa uhakika wananchi hao(Martha Magessa)

CHANZO:FRANCIS GODWIN
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top