Huyu ndio mrembo Amina Maige (kulia) maarufu Amina Kimeza na ndiye
aliyemfanyia ukatili wa ajabu msichana wake wa kazi ambae pia ni ndugu
yake Yusta Lucas (kushoto)!!! Lazima ukae unakijua kwamba kila
unachofanya mungu anaona na malipo ni hapahapa duniani! Hivi sasa huyu
dada yupo segerea na jana amepata aibu ya mwaka mahakamani amezomewa
sanaa.
Yaani duniani hapa kuna watu na viatu sasa huyu dada Amina Maige na
uzuri wake wote huo kumbe ni shetani na ndo aliye mfanyia unyama na
ukatili wa ajabu msichana wake wa kazi Yusta (kulia). Dah kweli za mwizi
arobaini na iwe fundisho kwa wote maana kama huwezi kukaa na mtoto wa
mtu mrudishe kwao kuliko kumfanyia unyama.
Post a Comment