Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MGOMBEA URAIS WA KLABU YA SIMBA BW. EVANS AVEVA AZINDUA KAMPENI ZAKE LEO

1 - CopyMgombea urais wa Kalabu ya Simba ya jijini Dar es salaam Bw. Evans Aveva akizunngmza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Raha Tower jijini Dar es salaam leo wakati akitangaza rasmi uzinduzi wa kampeni zake, uchaguzi wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Juni 29 kwenye ukumbi wa Police wa Oysterbay jijini Dar es salaam, Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa klabu hiyo Mzee Hassan Dalali ambaye ni Meneja wake wa kampeni.3 - CopyMgombea wa Umakamu wa rais wa klabu hiyo Bw. Godfrey Nyange :Kaburu” akiwa katika mkutano huo uliofanyika katika jengo la Raha Tower jijini Dar es salaam.4 - CopyKushoto ni Mtangazaji wa Radio One Bw. Maulid Kitenge na Mulamu Ghambi mmoja wa wanachama wa kundi la Friendes Of Simba na mwanachama wa Klabu hiyo wakiwa katika mkutano huo.5 - CopyMgombea wa Umakamu wa rais wa klabu hiyo Bw. Godfrey Nyange :Kaburu” naye akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top