Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI DEBORAH JOHN SAID AMEFARIKI DUNIA


Taarifa zilizotufikia katika Chumba cha Habari muda huu zinasema kwamba , Muimbaji wa Nyimbo za Injili Deborah John Said Amefariki Dunia katika Hospitali ya Muhimbili. Endelea kufuatilia hapa kwa taarifa zaidi. Tunatoa pole kwa wote waliopatwa na Msiba huu Mkubwa.
Amen
Download Our App

1 comments:

bwana alitoa bwana ametwaa. Mungu ampe uvumilivu na nguvu mume wake Mch. John Said

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top