Mzee wa Upako
Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui
watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusiowajua?!
Mchungaji Gwajima
Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuongea?!
on Saturday, June 21, 2014
Post a Comment