Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea na kuzingatia maombi
ya Simba (barua imeambatanishwa), na kwa kuzingatia Ibara ya 26 ya
Kanuni za Uchaguzi za TFF toleo la 2013 limeiruhusu klabu hiyo kuendelea
na mchakato wa uchaguzi wao uliopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu.
TFF inawahimiza wanachama wa klabu ya Simba kuwa watulivu na wafanye uchaguzi wao kwa amani.
BONIFACE WAMBURA
OFISA HABARI NA MAWASILIANO
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
Post a Comment