Baada
ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,leo
Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la
Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na kutoa maoni yako hapo chini
ili baadae wakipita wasome ulichokisema kuhusu wimbo huu mpya ambao
kashirikishwa Malomboso kutoka Yamoto Band.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment