Jioni
ya Mei 31 mwili wa Director George Tyson umewasili kwenye hospitali ya
Dokta kairuki ambao umehifadhiwa hapo wakati mipango mbalimbali ya
mazishi ikipangwa.
Steve
Nyerere ambae ni Mwenyekiti wa Bongo movie amewataka waigizaji wote wa
filamu kukutana nyumbani kwa marehemu George Tyson maeneo ya mbezi
Makonde.
Baadhi ya picha wakati mwili ukiwasili kwenye hospitali ya Dokta kairuki.
Post a Comment