Mama Wema |
Watu wasio na maadili (hawa bilashaka ni malezi mabaya) leo hii kwenye mtandao wa INSTAGRAM waliweka picha ya mama yake Wema Sepetu (IliyoEditiwa)..na kuanza kumshushia maneno yasio na ADABU...kiufupi hawa ni watu ambao mara nyingi wamekuwa wakimshushia matusi Wema Sepetu kwenye mitandao ya kijamii...Sasa leo bila kufikiri wameenda mbali zaidi na kumuhusisha mama yake kwenye mambo yao....Kitendo hiki hakikubaliki na chakukemewa kabisa...Kwani wazazi wetu wengi hawajihusishi na maswala na ushabiki usiona maana wa kwenye mitando hii ya kijamii.....Wema Sepetu kupitia huko huko INSTAGRAM ameelza kusikitishwa kwake kwa mama yake kuingizwa kwenye ma BUFU yasio na maana.....kiufupi ameelezea kuumia sana leo hii ukizingatia kwasasa amebaki na mama pekee.
Post a Comment