HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA WILLIAM MTITU KUPITIA INSTAGRAM YAKE KUHUSU
FLORA MBASHA NA MUMEWE EMMANUEL MBASHA, ANEKABILIWA NA KESI YA KUBAKA.
Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola
mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza
tayali.....hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa
makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza
.namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi? Kiukweli frola una roho
mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi
kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ? Eti umemrudia YESU ?YESU yupi
huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako? Leo
umemsahau Mbasha ww ? Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva
teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida
gani ww?
Huyo mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza
kujikaza ukamwambia yuko jera je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ?
Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza
ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje? Hapo auna jibu Acha
roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA
FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW
ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA
KAZI ZAKO ZOTE. GDAY.
Post a Comment