1. Mchepuko wa Lami: huu ni ule ambao hauombi pesa, upo njema unajua
designer zote, katulia hana mapepe, uwe nae usiwe nae maisha yake
yanaendelea. 2. Mchepuko wa Vumbi: huu ni ule ooh sina pesa, naomba
vocha, sijui simu imekufa, charge iko low, ooh nipo saloon nadaiwa elfu
thelathini nitumie kwa tigopesa, naomba nauli, nadaiwa kodi, mtoto wa
shangazi kaja, nrushie dompo, nk. Na hii ndio noma maana njia kuu lazima
washtukie mchepuko vumbi unachafua na unasumbua fulltime! 3. Mchepuko kokoto: huu ni mkali zaidi ya njia kuu kila mara huuliza upo wapi? na nani? Why hupokei simu yangu? Nomaaaa! Baki njia Kuu! |
Post a Comment