Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YA DALADALA TABATA MATUMBI





Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mbagala na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata Matumbi Julai 3 mwaka huu. Mashuhuda wa ajali hiyo wameipasha Blog hii kuwa daladala hilo lilipata ajali hiyo wakati lorio hilo likivuka barabara na kuligonga katikati. 



Credits: Picha Zote na Mroki Mroki - Father Kidevu Blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top