Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BARCELONA YATANGAZA MESSI `HAUZIKI`...LAKINI YAKIRI XAVI ANAWEZA KUTIMKA


Priceless: Barcelona's president has branded Lionel Messi 'unsellable'

Hana bei: Rais wa Barcelona amesema Lionel Messi hauziki.
RAIS wa Barcelona imesisitiza kuwa Lionel Messi "hauziki" wakati huu miamba hiyo ya katalunya ikihangaika kumuongeza katika kikosi chao Luis Suarez msimu ujao.
Kwa sasa Messi anaichezea timu ya taifa ya Argentina katika fainali za kombe la dunia na ameshafunga mabao manne na kuifikisha hatua ya robo fainali.
Nyota huyo mwenye miaka 27 siku za karibuni alisaini mkataba na Barcelona ambao utamuingizia paundi milioni 16.3 kwa mwaka.
Rais wa klabu, Josep Maria Bartomeu alisema: "Nikiwa nahusika moja kwa moja, Messi hataki kuondoka. Tulimpa mkataba mpya siku si nyingi na ana furaha".
Exit strategy: Barca midfielder Xavi (R) is yet to decide his future
Kiungo wa Barca , Xavi (kulia) bado hajaamua hatima yake

Bartomeu pia alisema Xavi anaweza kuondoka klabuni hapo, lakini hajaamua bado ataelekea  wapi.
"Xavi ana haki ya kuamua anataka kufanya nini na tutaheshimu suala hilo. Siku moja atarudi klabuni kwasababu ana uwezo wa kuwa kocha mkubwa".
Barcelona walishafungua ofa ya paundi milioni 72 siku ya jumatano usiku, lakini Liverpool wanata mkwanja wa paundi milioni 80 ili kumuuza nyota huyo mwenye miaka 27.
Enlarge 
Chilled out: Messi cracks a joke with Argentina team-mate Fernando Gago
Messi akitaniana na mchezaji mwenzake wa Argentina  Fernando Gago.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top