Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DAVID LUIZ: NITAIONGOZA BRAZIL KUTINGA FAINALI KESHO MBELE YA UJERUMANI


BEKI David Luiz amesema atamudu presha ya kuiongoza nchi hiyo yenye watu Milioni 200, wakati Brazil itakapomenyana na Ujerumani kesho katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia.
Beki huyo wa zamani wa Chelsea atakuwa Nahodha wa timu yake kesho, kufuatia FIFA kuipilia mbali rufaa ya Thiago Silva kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwenye michuano ya mwaka huu katika mchezo dhidi ya Colombia ambao timu yake ilishinda 2-1.
Nyota kinda wa Brazil, Neymar pia ataikosa Nusu Fainali kwa sababu ni majeruhi, lakini Luiz anaamini watatinga Fainali itakayochezwa Jumappili Uwanja wa Maracana.
Mnyumbulifu: Dani Alves na David Luiz wakijifua
Your turn: The defensive pair switch roles as Luiz helps Alves stretch his left leg
Beki huyo wa kati wa Paris St Germain amesema: "Niko tayari. Mimi Nahodha Msaidizi na kundi hili ni rahisi saran kulimudu kwa sababu kila mmoja ni mtaratibu. Haitakuwa kazi ngumu kabisa,".
Big Phil: Scolari issues instructions to a group of his players during their training session in Teresopolis
Big Phil: Kocha Scolari akitoa maelekezo kwa vijana wake mazoezini mjini Teresopolis
Joking around: Luiz points into the difference as he and Marcelo train ahead of the last-four clash
Luiz akimuonyesha kitu Marcelo 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top