Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

EXCLUSIVE AUDIO: TUMENASA SAUTI ZA DJ FETY, ADAMU MCHOVU NA B12 WAKIDUNDANA STUDIO HUKU WAKISAHAU KUWA WAPO HEWANI LIVE

Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea mda huu kwenye kipindi cha xxl.. sikiliza hapa


Inshu nzima iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?

Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta

Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza

Kikanuka zaidi!

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki.

Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...

Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?



BOFYA HAPA KUSIKILIZA

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top