Gari
lililombeba Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, likilindwa na polisi
lililopokuwa linaondoka baada mkutano wa hadhara kuvunjika
kulikosababishwa na vurugu ambazo waziri alidai kuwa zilipangwa kwamakusudi
na wafuasi pamoja na viongozi wa Chadema waliokuwa wakirumbana na
viongozi wa CCM, katika Kata ya Goba, Kinondoni, Dar es Salaam jana.
Makalla alikuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya
Dar es Salaam na Pwani. Kwa habari zaidi juu ya sakata hilo tembelea
blog hii. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kwa Undani
6 hours ago
Post a Comment