Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hii ndiyo ahadi anayodaiwa Roma na Mashabiki wa Germany.

romaaaa
Mechi kati ya Brazil na Germany ilibeba hisia za watu wengi sana na wengi wao walijaribu kuweka ahadi ambazo inawezekana ngumu kuwezekana,mmoja wapo ni msanii Roma Mkatoliki ambaye yeye alisema endapo Germany ingeshinda basi angehama kutoka Tongwe Records kwenda Sharobaro kwa Bob Junior.

romaa
Baada ya Germany kushinda ile ahadi yake inabidi aitimize na XXL ya Clouds Fm wamemwambia kuwa wanasubiri ngoma inayofuata itoke Sharobaro sasa je?itawezekana kwa yeye kufanya muziki wa kuimba.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top