Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jinsi simu ya mkononi inavyosaidia wagonjwa wa kisukari nchini Senegal.

simu
Kwa mara ya kwanza wagonjwa wa kisukari nchini Senegal wameanza kupokea ujumbe wa simu ukiwataka kufunga kwa kipindi cha kabla, wakati na baada ya mwezi wa Ramadhan.
Senegal imekuwa nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma hiyo ya simu kuwasaidia wagonjwa kisukari njia muhimu na salama za kuweza kukabiliana na kulinda afya zao haswa katika kipindi hiki cha mfungo.

Wagonjwa walioanza kupokea huduma hiyo wanasema inawasaidia sana.
Marie Gadio, mwenye umri wa miaka 26, ambaye aligundulika kuugua ugonjwa wa kisukari akiwa na miaka 13 anasema kuwa kukabiliana na ugonjwa huo kipindi cha mwezi wa Ramadhan sio kitu rahisi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top