Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LIVERPOOL WAJIBU MAPIGO YA MAN U, NAO WATAMBULISHA UZI MPYA WA MSIMU UJAO, KITU 'BLAKI'

Picha hii hapa: Raheem Sterling, Steven Gerrard na Daniel Sturridge wamepamba bang la jezi mpya za  Liverpool
 
 
******
WASHINDI wa pili wa Ligi Kuu ya England, Liverpool nap wametambulisha jezi zao za msimu ujao, muda mfupi baada ya wapinzani wao wakubwa, Manchester United kutambulisha pia.
Liverpool imetambulisha jezi hizo leo na katika tangazo la awali lilitoka picha ya mshambuliaji nyota Luis Suarez aliyibuka mfungaj bora wa Ligi Kuu haijatumika, hali inayoongeza uwezekano wa kuhamia Barelona. Liverpool ipo kwenye mazungumzo ya biashara na Barcelona juu ya Suarez.
Steven Gerrard, Raheem Sterling na Daniel Sturridge ndio ambao wamepamba tangazo la jezi za msimu mpya za Liverpool.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top