@officiallulumichael: "Haya sasa.....maelezo hatimaye
yamepatikana....mnivumilie ni marefu Kidogo...! 1. Pongezi kwa
@officialalikiba nimesikia Mwana wa Dar es Salaam tu lkn kiukweli Mimi
binafsi umenikonga moyo...!
2.ieleweke kwambi Mimi ni shabiki wa mziki mzuri hata ukiwa umeibwa na
underground na wengi wenu mmekuwa mashaidi maana huwa na post video
nikiimba miziki ya watu tofauti hata wasio mastar wakubwa...kwahyo mm
sio shabiki wa mtu ni shabiki wa kazi ya mtu
3.Nimegundua wasanii wengi wa Tanzania tuna U mimi....hivi ulaya
wangekuwa hvyo...Hollywood c kungekuwa na mtu mmoja tu au wawili
basi....nadhani umefika muda wa wasanii Kama wasanii kila mmoja
kujiamini ktk kazi Zake na kufikiria kufanya makubwa sio kufikiria
kushindana na flani.....tena tukishirikiana tutaweza kufika mbali zaidi
ya hapa...tutaendelea kila cku kuona maajabu wenzetu Nigeria wanafika
mbali....wanajielewa na wanashirikiana...!Kama binadamu kukoseana kupo
ila ukijua kosa kuomba msamaha na kuendelea na maisha ndo busara zaidi
4.Hapa sasa....nieleweke jmn...Mashabiki wetu Tunawapenda sawa....lakini
kwa namna moja au nyingine Mashabiki mnchangia bifu za
wasanii....JAMANI Ukiwa shabiki wa Lulu haimaanishi umchukie
Wolper(mfano)Kama ww ni shabiki wa mtu sio umchukie msanii mwingine na
hii kwakweli ninaiona Tanzania tu(thou sio Mashabiki WOTE) 5
.Mwisho...WOTE tunategemeana wasanii tupendane tukiona wenzetu flani
wana shida tusaidie kuondoa tofauti na Mashabiki pia nyie ndo msaidie
kupatanisha watu sio kuchochea ugomvi....Mungu alivyotuumba wengi
alikuwa na maana yake sasa we ukitaka uwe Mkali pekeyako ungeumbwa
mwenyewe ukawekwa kwenye dunia ya pekeyako tukusome kwenye history dunia
flani Kuna mtu mkali yuko pekeyake..!duh nimechoka kuandika lkn
cjamaliza.....bt I real wish wakali mngeungana mfanye mambo
makubwa....naamini inawezekana...!"
Post a Comment