Wadau
wengi wa muziki walikua wakisubiria kwa hamu wimbo mpya wa Ally Kiba
ambao tangu mwanzo wa wiki hii alikua akipost cover ya wimbo wake mpya
alioahidi kuutoa Ijumaa July 25.
Wimbo umetoka na hapa unaweza kuusikiliza na kuudownload pia.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment