Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mabibi na Mabwana zile video mbili mpyaaaa alizoahidi Diamond kuzitoa leo hizi hapa zione .....

 



mond2
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.


mondd
Hizi ni video mbili ya kwanza ni Mdogo Mdogo aliyeiongoza God Father na ya pili ni Bum Bum aliyomshirikisha msanii kutoka Nigeria Iyanya.
Hii ni video ya Bum Bum.

Hii ni video ya Mdogo Mdogo.


 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top