Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA

MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha.

Mtangazaji ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’

Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha akiwarusha roho mashoga zake na alipoulizwa na paparazi juu ya pete hizo alisema, mume
wake ndiye aliyeamua kumvisha baada yakuona ni heshima kwa mke wa mtu.

“Nimejisikia furaha sana kwani ilikuwa ikininyima raha kuona pete za mume wangu hazipo tena kidoleni, sasa nina amani tele,” alisema Mai
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top