Waziri
wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amesema itakuwa ni ndoto kwa vyama vya
upinzani nchini kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) iwapo
wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri wataendelea kuwapo kwenye
nafasi zao, akisema kuwa viongozi hao ni makada wa chama hicho tawala.
Alikuwa akizungumza jana na wananchi wa wilaya ya Chato kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya stendi ya mabasi, huku akisema CCM kitaendelea kutawala milele kwa kuwa kina mizizi ya kutosha.

alisema Magufuli.
Post a Comment