Comment hiyo ya nisher kupitia ukurasa wake wa insta umeonyesha wazi
kuwa ni majibu ya kile alichokisema Dimpoz kuwa directors inabidi
wajiweke sawa kwenye upande wa vifaa maana ndicho kinachowakimbiza
kwenda ncje ya Tanzania
Hiki ndicho alichokizungumza OMmy Dimpoz
"biashara ya
video ishaingia ushindani kwahiyo kuna haja ya kuwekeza kwenye vifaa, mi
nauhakika mtu anamavifaa kibao anaenda kushoot lushoto huko noma,
wazungu wenye watauliza umeshoot wapi, tuna maeneo kibao zanzibar wapi
wapi wapi ya kushutia, sio kwamba hatun amaeneo, maeneo tunayo lakini
hatujawa na vile vitu.kwahiyo nado maana hata mtu unafikiria sijui
nishutia zanzibar lakini unawaza kumchukua labda God Father kumleta huku
Tanzania ndio mziki. Halafu mtu utakapoletea vifaa hivyo nauhakika
hautaishia kwenye video tu, kuna matangazo, utakodi utafanyaje, kuliko
wanatoka watu nchi za watu makampuni yanalipa dola laki tatu kushoot
tangaza wakati watu tungekuwa na vifaa., watu lazima waelewa kitu
kimoja, hakuna mtu anaependa kujitia gharama kama kuna uwezo wa kuepuka
ghara, sio ufahari, mi nnavitu vingi vya kufanya sio kwamba nataka tu
nikalipe dola elfu 30 kushoot video wakati ninauwezo wa kuokuoa hiyo
hela labda kulipa dola elfu 15 au 10 wadau wanatuskia sie ndo wasanii
wenyewe tunasema kuwa mziki sasa hivi unalipa, mnaona sasa hivi vijana
wenu wanapata shilingi mbili tatu hizo mbili tatu mtagawana nao vipi
kuliko kwenda kuwapa watu wengine huko nje ya nchi? "
Post a Comment