Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Picha 5 za gari la nguvu alilozawadiwa mwimbaji Linah.

l5
l4
Makampuni mbalimbali nchini Tanzania sasa hivi yameanza kuamka kwa nguvu kuwatumia vizuri mastaa wa bongo kwenye kutangaza biashara zao ikiwemo Fastjet, Airtel na Vodacom ambao walianza hii kitambo kidogo.
Kwenye list ya mwaka huu mwimbaji Linah nae yumo ambapo baada ya kujituma kwa bidii kama kijana wa Kitanzania, kampuni ya NFZ anayofanya nayo kazi imemzawadia gari hili aina ya Toyota Mark X.
Hii inaonekana kama baraka za kusaidia Wazazi manake miezi kadhaa iliyopita Linah aliwazawadia Wazazi wake nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake lakini baadae akabadili maamuzi na kuwazawadia wazazi.
l5
Kwa sasa Linah ameshaanza ujenzi wa nyumba yake Mbezi jijini Dar es salaam.
l3
l2
l1
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top