Zifuatazo ni picha za awali za maazishi ya muimbaji wa nyimbo za dini, Orida Njole ambaye alifariki dunia siku ya Jumamosi
kwenye hospitali ya Temeke. Orida Njole ambayepia alikuwa mama
Mchungaji kwenye kanisa la 'Oasis of Victory Church', mume wake akiitwa
Peter Simon - amezikwa kwenye makaburi ya mwisho wa lami, Kijiji cha
Wagogo, Salasala, baada ya kumaliza ibada ya maazishi iliyofanyika
Salasala Kwa Swai.
DK. Nchimbi Akutana Nakuzungumza Na Mabalozi
1 hour ago
1 comments:
Tunatazamia mbingu mpya na nchi mpya
ReplyPost a Comment