Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PINDA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SUDAN

 




PG4A6075

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Mtanzania  Nancy Kairagi ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa  Rais wa Umoja wa Vijana wa Nchi za maziwa makuu, wakati alipokutana nae jijini Nairobi Juai 24, 2014 kwenye mkutano maalum  wa nchi za maziwa makuu  wa kujadili tatizo la ajira kwa vijana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



PG4A6086

Waziri mkuu, Mizengo Pinda  na Waziri wa kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto)  wakizungumza na Mtanzania Nancy Kairagi ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Vijana wa Nchi za Maziwa  Makuu katika Mkutano Maalum wa nchi za Maziwa Makuu wa kujadili swala la ajira kwa vijana uliofanyika Nairobi Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A6139

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  makamu wa Rais wa Sudan, Hassabo Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A6141

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza  na  makau wa Rais wa Sudan, Hassabo Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top