Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU KUTOKA KWA MABALOZI WANNE


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa.Mabalozi waliowasilisha hati zao leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Balozi Ismail Salem wa Malaysia,Balozi Georges Aboua wa Cote d’Ivore, Balozi Thony Fred Balza Arismendi wa Venezuela na Balozi Ahmat Awad Sakine wa Chad.Pchani mabalozi hao wakiwasilisha hati zao kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Huku Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma(Katikati) akishuhudia na kuongoza hafla hiyo.D92A4767Mhe.Ismail Salem Balozi wa Malaysia akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.

D92A4863Mhe.Georges Aboua Balozi wa Cote d’Ivore akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.D92A4979Mhe.Thony Fred Balza Arismendi Balozi wa Venezuela akiwaasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.D92A5062Mhe Ahmat Awad Sakine Balozi wa Chad akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma(picha na Freddy Maro).

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top