Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

STEREO AMALIZA MASOMO YA DEGREE CHUO CHA ARDHI UNIVERSITY

Rapper Stereo (African Son) jana amefanikiwa kumaliza masomo katika chuo cha Ardhi University ambako alikua anasomea Bachelor of Science in Urban and Regional Planning...Stereo ni moja kati ya marapa wenye fame na ni wasomi katika Level ya Degree, Na katika mtihani wake wa mwisho wa Research yeye aliamua kufanya Utafiti katika maeneo ya jirani na alipokulia katika Dampo la Pugu na Kichwa cha Utafiti wake ni
"EFFECTIVENESS OF EIA MITIGATION MEASURES ON MANAGING WASTE DISPOSAL FACILITIES,THE CASE OF PUGU-KINYAMWEZI DUMP SITE"
Na Supervisor alikua Doctor William Mwegoha..Presentation ilikuwa assessed na Professor mmoja toka South Africa,Doctor Macarius Mdemu,Doctor Nelly Babere na Mr. sang'enoi.
Hongera sana mzazi kwa kuvumilia miaka yote hiyo ya Chuo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top