Hii
single inaitwa ‘Wahaladee’ ambayo ni miezi kadhaa imepita tangu utoke
rasmi kwenye Radio lakini July 25 2014 Watanzania wameletewa video yake
ambayo imeongozwa na Nick Dizzle ambapo kingine kikubwa kwenye hii video
ni mrembo alieigiza ndani yake, ni mke wa ndoa wa Barnaba (Mama Steven)
Naambiwa video imefanywa Kenya na Tanzania.
Post a Comment