Zimepita
siku 10 tangia Mkali wa Bongo Fleva hapa tanzania Diamond Platnumz
kuachia Video zake Mbili hewani. Tukiwa tunafuatilia kwa karibu ni Video
ipi imeonekana kupendwa na kuangaliwa sana katika mtandao wa Youtube.
Video
ya Mdogo mdogo ndiyo kwa sasa inaoyoongoza kwa kuangaliwa na Watu wengi
kutoka ndani na Nje ya Tanzania ikiwa imefikisha zaidi ya Views 216,336 huku video ya BumBum
Aliyomshirikisha
Iyanya ikiwa ina Views 124,014 na zaidi, Sasa hii inaonyesha kuwa video
ya mdogomdogo ndiyo inayoongozwa kwa kupendwa na kuangaliwa na watu
wengi zaidi kwenye chanell hiyo
Post a Comment